Young Africans kuifuata US Monastir mapema – Dar24Rais wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said amesema, tayari wameshakamilisha maandalizi ya safari ya kuelekea Tunisia, kwa ajili ya mchezo wa Mzunguuko wa Kwanza Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Young Africans imepangwa Kundi D katika Michuano hiyo, itaanzia ugenini kwa kuikabili US Monastir ya Tunisia Februari 12 mwaka huu.
Young Africans vs Namungo predictions and stats - 04 Feb 2023Straight line distance KariakooTanzania RuangwaTanzania 361km Benjamin Mkapa National StadiumRuangwa Standings of both teams View all Young AfricansLast 6 matches Namungo Young Africans Last 6 matches Young AfricansHome / AwayNamungo Young Africans home matches Young AfricansPlayed games: 27 NamungoPlayed games: 21 Under/Over Both teams scored games (Yes/No) Young AfricansTrendsNamungo Young Africans Trends A period of 26 straight home games without a defeat marks the Ligi Kuu Bara campaign of Young AfricansYoung Africans are undefeated in 50 of their last 51 league gamesYoung Africans are unbeaten at half time in all of their last 18 matches in Ligi Kuu BaraYoung Africans have won their last 8 league gamesIn Young Africans's last 3 games in Ligi Kuu Bara there have been under 2. 5 goals scoredYoung Africans have been conceding 0.
Young Africans kuifuata US Monastir mapema – Dar24Rais wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said amesema, tayari wameshakamilisha maandalizi ya safari ya kuelekea Tunisia, kwa ajili ya mchezo wa Mzunguuko wa Kwanza Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Young Africans imepangwa Kundi D katika Michuano hiyo, itaanzia ugenini kwa kuikabili US Monastir ya Tunisia Februari 12 mwaka huu. Injinia Hersi amesema wanatarajia kikosi chao kitaondoka jijini Dar es salaam mara baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC, utakaopigwa Jumamosi (Februari 04), Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Pascal Wawa: Tunataka kuoinesha Simba SC “Maandalizi yote yamekamilika kwa kiasi kikubwa, mchezo wetu unatarajiwa kuwa Februari 12 mwaka huu, hivyo tunajiandaa kuhakikisha kikosi kinasafiri mara tu baada ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC (Jumamosi hii).
Young Africans kuifuata US Monastir mapema – Dar24Rais wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said amesema, tayari wameshakamilisha maandalizi ya safari ya kuelekea Tunisia, kwa ajili ya mchezo wa Mzunguuko wa Kwanza Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Young Africans imepangwa Kundi D katika Michuano hiyo, itaanzia ugenini kwa kuikabili US Monastir ya Tunisia Februari 12 mwaka huu.
Injinia Hersi amesema wanatarajia kikosi chao kitaondoka jijini Dar es salaam mara baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC, utakaopigwa Jumamosi (Februari 04), Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Pascal Wawa: Tunataka kuoinesha Simba SC “Maandalizi yote yamekamilika kwa kiasi kikubwa, mchezo wetu unatarajiwa kuwa Februari 12 mwaka huu, hivyo tunajiandaa kuhakikisha kikosi kinasafiri mara tu baada ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC (Jumamosi hii). ” amesema Injinia Hersi Said Baada ya mchezo dhidi ya US Monastir, Young Africans itarejea nyumbani Dar es salaam kucheza dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo Februari 19, kisha itakwenda nchini Mali kuikabili Real Bamako, katika Uwanja wa du 26 Mars, mjini Bamako Februari 26.
Mtibwa Sugar vs Namungo Live Stream and Predictions